[Remix ] Vanessa Mdee ft. Ommy Dimpoz & Gosby – Closer Remix

Ni Mwana dada Vanessa Mdee Baada ya single yake Ya Closer Kufanya vizuri kwenye Media mbalimbali sasa Vanessa ameamua Kuifa Remix ya hiyo ya Closer akiwa mewashirikisha wakali Ommy Dimpoz na Gosby.
Pia Vanessa amesema kuwa Remix Hiyo ni special Kwa Valentine day
 =>Listen & download "Closer Remix"

Categories: , , , , ,