[Official] Diamond Platnumz & VjPenny ni Wapenzi

Siku za hivi karibuni baada ya story na picha ku sambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii na kusema kwamba msanii wa kizazi kipya Diamond Platinum anamahusiano na mtangazaji wa Dtv "VJ Penny" Sasa jana kupitia instagram ya Diamond imethibitisha kwamba ni wapenzi baada ya kuweka Picha ya Penny na kuandika:- 
#De 'MumOfMyBlood#Mama YourDiamond#YounPlatinum#YoungPrezident........

Categories: , ,