Suma Mnazaleti Ft. Dannyjoe - Asante [Audio]


Baada ya Artist "Suma Mnazaleti" Kutamba na Kufanya vizuri kwa ile Ngoma  ya "Chukua Time" aliyomshirikisha "Ommy Dimpoz" Sasa Suma Mnazaleti Ame release Track nyingine aliyomshirikisha Mtumzima "Dannyjoe" Track inakwenda Kwa jina la "Asante "
=>Skiliza Hapa "Asane" By "Suma Mnazaleti"