Video: Mabeste Ft Deddy "DOLE"


Ni Video mpya ya Mabeste aliyomshirikisha Deddy "DOLE
Video shooting imefanyika sehemu mbili tofauti  Ilala na pande za Mbezi beach katika hotel ya White Sands. 
Video hii imeongozwa na kutayarishwa na muongozaji mpya kwenye game nchini, Nisher kutoka Arusha.

Categories: , , ,