Wiz Khalifa & Amber Rose wapata Mtoto Wakiume!!

Hii picha ni ya Wiz Khalifa akiwa amembeba mwanae, Ni baada ya Amber Rose  ujifungua mtoto wa kiume aliyepewa jina la Sebastian Taylor Thomaz,
Kwahiyo sasa Wiz Khalifa & Amber Rose ni Baba na Mama.!!!