[Audio] Juma Nature ft. Tunda Man - "Haipotei"


Kitambo bila kutoa ngoma yoyote, Artist Juma Nature amerudu nakuomba msamaha kwa mashabiki kwa kukaa kimya. Sasa huu ndio ujio wake akiwa na Tunda Man kutoka Tip top, wimbo unaitwa "Haipotei"