[Audio] Kala Jeremiah Ft Ben Pol-_ "KARIBU DAR


Baada ya Rapper Kala Jeremiah  Kufanya vizuri kwa Track yake ya "Dear God"  ambayo ni moja kati ya ngoma zilizopo katika album yale ya "Pasaka"  Now ame-release  track nyingine inayo kwenda kwa jina la KARIBU DAR aliyomshirikisha R&B star Ben Pol.
Pia Ben Pol anazidi kuonyesha uwezo wake katika Music industry kwa kushirikishwa katika Track nyingi. Production yote ya Karibu dar imefanyika kwa Producer Mbezi