[Audio] Ney wa Mitego ft Diamond – "Muziki gani"


[Ney wa Mitego ft Diamond] "MUZIKI GANI" Ni bonge la Ngoma lenye idea ya kipekee katika muziki wa  Bongo Fleva kwakuwa wasanii hawa wawili wameamua Kuimba kwa Kujibizana kati ya Maisha halisi ya Muziki wa Hip Hop "Ngumu" yakitetewa vyema na Ney wa Mitego huku Diamong Platinumz pia akiutetea upande wake wa Mziki laini A.K.A Wabanapua.
Na Majibizano yakawa kama Hivi, Skiliza Hapo na Download......

Categories: , , , ,