Matonya - Sembule [Audio]

Baada ya Artist wa Bongofleva "Matonya" Kutamba na Track yake iliyokwenda kwa jina la "Zolipendwa"  ambayo pia imefanya vizuri katika Radio na Tv stations hapa Tz. Sasa Matonya amerelease ngoma yake mpya Inayokwenda kwajina la "SEMBULE" Ina miondoko Flani hivi yani  kama "Zilipendwa" hebu iskilize hapo chini........

Categories: , ,