*NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA YA PASAKA


Kaka God pamoja na kundi zima la Ze Brothers tunawatakia sikukuu njema,Tulivu iliyojaa Upendo,Amani na Ukarimu ya PASAKA wadau wote wa *KAKAgod' Blog* na wakristo wote Duniani kote.
Kama umezipata salamu hizi na unaamini kuwa Bwana yesu amefufuka basi comment neno "Amen"

Categories: , ,