[Audio] Young Killa, Stamina, & Quick Racka - Jana na Leo


Baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya Dear Gambe  rapper Young Killa ameweza kuonyesha uwezo wake wa Kuchana zaidi katika Ngoma Hii aliyoshirikiana na Rapper Stamina pamoja na Quick Racka inayokwenda kwa jina la JANA NA LEO
"Kama pesa mawe/ jiji tajiri ingekuwa Mwanza............."