Janjaro ft. PNC - Maisha ya Skonga [Audio]


Baada ya watu kusema sana kuhusu maendeleo ya Janjaro shuleni sasa Janjaro A.K.A Dogo Janja akiwa amemshirikisha PNC wote wakitokea katika crew ya Mtanashati Entertainment ameachi ngoma mpya inayo kwenda kwa jina la Maisha ya Skonga.
ipo hapa:::::::::

Categories: , , , ,