Song: MeccaCheka ft Gnako - Soma


Wanakuja tena baada ya collabo heavy na Nakaaya -Darasa Huru,Si wengine bali ni MeccaCheka na track mpya kabisa iloundwa pande za www.noizmekah.com wakimshirikisha mkali toka Weusi mzee mzima G-nako katika ngoma waloipa Jina SOMA Almando Mwiro Almando Rizzy wkiwa ndio waasisi wa MeccaCheka Crew wana Mengi kwa Washabiki wa Muzika wa Muziki hapa Bongo na Duniani Kote, Pata kuusikiliza HAPA na kwa mawasiliano zaidi piga simu +255 763 941 893 au +255 715 652 878 Powered by www.vmgafrica.com