[Audio] Godzillah ft Walter Chilambo – Thanx God


Ni ngoma mpya kabisa ya rapper God Zillah A.k.A King Zillah akiwa amemshirikisha Walter Chillambo Mshindi wa  EBSS 2012.
Production Imefanyika kwa mtu mzima Marco Chali na Ngoma ikiwa inafahamika kama THANKS GOD