DUDE ni YAHAYA katika video ya LADY JAYDEE "YAHAYA" [Picha]Msanii wa bongo movie anajulikana kwa jina la DUDE yeye ndie atakayecheza pati ya YAHAYA katika video mpya ya mwanadada LADY JAYDEE. Video hii imeanza kushutiwa, kaa tayari kwa kumuona Dude akiwa kama YahayaCategories: , , , ,