Miss Karun - 'Photograph' [Audio]


Baada ya kujiondoa katika kundi la Camp Mulla aliyekuwa first lady wa kundi hilo Miss Karun ameachia single yake ya kwanza kama msanii wa kujitegemea unaoitwa “Photograph”.
Wimbo wa Karun ambao umetoka rasmi jana (July 9) ikiwa ni siku chache baada ya member mwingine wa kundi hilo Kus Ma kutoa wimbo wake wa solo.
Karun mwenye miaka 19 anategemea kutoa album yake ya kwanza mwezi August mwaka huu kabla hajaelekea nchini Marekani huo huo kujiendeleza kielimu .
Isikilize ‘Photography’ ya Miss Karun

Categories: , ,